Majadiliano ya Wikipedia:Makala kwa ufutaji
Mandhari
Mussa m. Sabbath
[hariri chanzo]Mimi ni mgeni humu wiki sijawahi kuandika makala au kujua aliyomo humu. Je, nifanye nini basi? Nielewesheni basi. Sio kusema kufuta makala maana ngani? Mimi si mtu wa kuleta vurugu bali, amani nikosoeni nilipokosea nami nitajua kosa langu. Asanteni!
Habari Mussa Ni vyema kupitia nguzo za Wikipedia na kujifunza zaidi kuepuka kufutwa kwa Makala zako. Soma Nguzo za Wikipedia Czeus25 Masele (majadiliano) 15:49, 5 Aprili 2020 (UTC)