Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Uvimbe wa koromeo usababishwao na streptokoki

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hongera kwa tafsiri hii. Ila kichwa bado ni cha Kiingereza. Sasa, kamusi ya TUKI intafsiri "pharyngitis" kuwa uvimbe wa koromeo. Je, tutumie maneno hayo kama kichwa? Sijagundua tafsiri kwa "streptococcal". Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 20:39, 8 Mei 2012 (UTC)[jibu]

Naunga mkono kumkaribisha Stepehn aliyerudi; pia pendekezo la kuswahilisha kichwa cha makala. Naona hii ni lazima. "Uvimbe koromeo" tutumie tu; halafu sioni njia ila kuchukua neno hili "streptokoki". Hata kama haikuangaliwa bado na TUKI sioni chaguo kingine kwa sasa (nifungua interwiki ya en:Streptococcus naona neno hili la Kigiriki pekee) Tutafika "Uvimbe wa koromeo kistreptokokki", halafu Kiingereza kwa mabano. Mnaonaje?Kipala (majadiliano) 06:39, 17 Mei 2012 (UTC)[jibu]
Kiingereza kwa mabano ndani ya makala au nje ya makala? Tuangaze hapo kidogo!--MwanaharakatiLonga 06:49, 17 Mei 2012 (UTC)[jibu]