Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Usultani wa Adal

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Viungo vya Kiingereza??

[hariri chanzo]

Makla inaonyesha hadi sasa dalili za tafsiri ya kikomyuta isiyosahihishwa ya kutosha. Viungo vingi bado haviwezi kufanya kazi maana hazikuswahilishwa na hazikulinganishwa na makala zilizopo tayari katika wikipedia hii (mifano: "negusä nägäst" (badala ya Negus Negesti) ikielekea "Emperor of Ethiopia" jina ambalo halitapatikana kamwe hapa...; "Ottomans" badala ya Milki ya Osmani n.k.; halafu sentensi kama "Eneo la mtawala wa Kikristo wa Ethiopia aliyeitwaSolomonic" - bado kazi  !--Kipala (majadiliano) 22:08, 9 Januari 2010 (UTC)[jibu]