Majadiliano:Usonji
Mandhari
Nafikiri maelezo ya ugonjwa huu sio sahihi, na yako katika ukurasa wa Tawahudi ingawa sina uhakika kama Tawahudi ndio kiswahili sahihi cha Autism.Czeus25 Masele (majadiliano) 14:29, 5 Machi 2020 (UTC) Ref:
Marejeo
[hariri chanzo]- Niliporekebisha mara ya kwanza ukurasa huo nimeondoa maelezo yote yanayohusu tawahudi, na nimefuata ufafanuzi wa usonji katika KKK ambapo ni ugonjwa wa biolojia, si wa saikolojia kama autism. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 15:15, 5 Machi 2020 (UTC)