Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Upendo

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makala yangu imebadilishwa kabisa. Naona makala hii mpya iitwe jina tofauti kama vile pendo (au mapenzi). --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:02, 20 Desemba 2009 (UTC)[jibu]

Kumbe makala hiyohiyo ya wiki english imeshatafsiriwa kwa google na kutolewa kwa jina la Mapenzi. Hakuna sababu yoyote ya kuwa na kurasa mbili sawasawa, tena za Kiswahili kibovu... Narudisha ukurasa Upendo kama ulivyokuwa. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:45, 21 Desemba 2009 (UTC)[jibu]
Riccardo: Usisite kurudisha makala ya awali. Hata mimi hili nililiona, lakini nikashindwa kufanya lolote. Maadamu umeona ziko mbili tena kwa Kiswahili hovyo, basi rudisha toleo lako!--Muddyb MwanaharakatiLonga 07:50, 21 Desemba 2009 (UTC)[jibu]