Majadiliano:Uislamu nchi kwa nchi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Naunga makala kwenda: Uislamu kwa nchi... Mengi humu hayako sawa ukilinganisha na makala hiyo. Nitasubiri maoni ya wengine ili tuone nini tunafanya! Wenu..--MwanaharakatiLonga 15:37, 14 Aprili 2015 (UTC)

Makala zote mbili zinapaswa kuunganishwa. Matini katika makala "Uislamu kwa nchi" ina habari na maelezo zaidi kuliko hapa. Hapa fupi sana. Menginevyo lemma hapa ni afadhali. Sijalinganisha jedwali - nahisi ni namba zilezile. Umbo la jedwali hapa haupendezi. Sasa sielewi ni nini isiyo sawa? Sijui ingekuwa njia ya kuhamisha "Uislamu kwa nchi" kuja hapa? Kipala (majadiliano) 19:43, 15 Aprili 2015 (UTC)
Humu unahitaji template nyingi kuliko kule.. Humu sehemu kubwa Kiingereza, wakati kule sehemu kubwa Kiswahili. Hilo tu!--MwanaharakatiLonga 08:19, 16 Aprili 2015 (UTC)
Sijaelewa vizuri makala nyingine ni ipi. Au imeshahamishwa kwa kuziunganisha? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:23, 17 Aprili 2015 (UTC)