Majadiliano:Ufalme wa Aksum

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mzee Kipala, salam! Makala hii haijaandikwa kwa mashine. Ameandika Maria from the scratch na haikuwa mashine, mzee wangu. Labda amekosea tahajia tu lakini haikuwa tafsiri ya mashine. Wasalaam!--MwanaharakatiLonga 06:42, 3 Mei 2011 (UTC)

Asante kwa kusema. Basi nimebadilisha kwa "lugha" maana inaonekana kidogo aliishiwa pumzi njiani. (ling. sentensi kama "Northwest of Axum (in modern day Sudan), Christian states of Maqurra and Alwa lasted till the 13th century before becoming Islamic.[4] Axum, isolated, nonetheless still remained Christian") Kipala (majadiliano) 07:49, 3 Mei 2011 (UTC)
Ahaha, Mzee Kipala! Bila-kusahau, binti yule bado hajang'amua vya kutosha masuala ya kiwiki. Basi wakati mwingine hutokea anasahau kubadili sentensi fulani - hasa zile zilizokuwa na vigezo vya marejeo. Haya, tuendelee kuchanja mbuga! Wasalaam!--MwanaharakatiLonga 08:34, 3 Mei 2011 (UTC)