Majadiliano:Tungo

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tungo ni kipashio cha kisarufi kilichoundwa kwa kuunganishwa pamoja na vipashio vidogovidogo vilivyo chini yake.Au tungo ni neno au kikundi cha maneno ambacho hudokeza taarifa fulani ambayo huweza kuwa kamili au isiyo kamili.

Kwa maana hii,tungo hujengwa na vipashio vidogovidogo kama vile,mofimu kuunda neno,neno kuunda kirai,kirai kuunda kishazi.kishazi kuunda sentensi.