Majadiliano:Teresa wa Mtoto Yesu
Nimeona wengi wakiandika makala hii kwa jina la "Therese_of_Liseaux" - labda tuseme kwa Kiswahili kama "Teresa wa Liseaux" badala ya Teresa wa Mtoto Yesu. Je, huoni kama hii ni sahihi zaidi?-- MwanaharakatiLonga 12:32, 4 Septemba 2009 (UTC)
- Huku Tanzania jina linalojulikana ni lile nililolitumia au lingine la kufanana nalo, labda kwa sababu wengi hawajui namna ya kutamka jina la Kifaransa la mahali alipofariki (Liziee). Ni hivi katika vitabu vya ibada, katika nyimbo za kumuimbia na pia katika tafsiri (ya Kiswahili na ya Kihaya) za kitabu alichokiandika mwenyewe. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:16, 5 Septemba 2009 (UTC)
- Haya, lakini kumbukumbu yangu inaniambia kwamba kuna siku uliwahi kuandika kwamba tafsiri zingine za Kamusi ya TUKI haziko sahihi (ni mfano tu hapa haturejei habari za TUKI). Lakini naona tafsiri hiyo ya Kihaya na... Siyo sahii. Sijui. Kazi kwenu wana-dini.-- MwanaharakatiLonga 08:08, 5 Septemba 2009 (UTC)
Kigezo:Mtakatifu
[hariri chanzo]Kuna kitu nimekiona wakati wa kuweka kigozo husika hapo juu. Kwa kufuatia mfumo wa jedwali lako la "Walimu wa Kanisa" katika kila makala ya watu hawa. Sijui itakuwaje iwapo utataka kuweka vigezo vyote viwili. Ninamaanisha mfumo wa uwekaji wa vigezo hivi - vyote hukaa kushoto. Hali ambayo itakuwa mvurugano mkubwa baina yao. Tafakari kubadilisha mfumo wa jedwali la Walimu wa Kanisa. Walimu wa Kanisa inabidi liwe linakaa "kwa mapana, yaani, horizonta." Wakati hii ta Mtakatifu, ibaki vertical kama jinsi inavyokuja. Unaonaje?-- MwanaharakatiLonga 08:55, 5 Oktoba 2009 (UTC)
Mtakatifu Thérèsia wa Lisieux | |
---|---|
Mtakatifu Thérèsia, akiwa na umri wa 15, kabla ya kuingia shirika la Wakarmeli | |
Bikira na Mwalimu wa Kanisa | |
Amezaliwa | Alençon, Ufaransa | Januari 2, 1873,
Amekufa | Lisieux, Ufaransa |
Anaheshimiwa na | Kanisa Katoliki |
Canonized | |
Feast | {{{feast_day}}} |
Attributes | flowers |