Majadiliano:Taya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Shida za taya[hariri chanzo]

Sehemu hii haieleweki. Sielewi "taya laini" ni nini. Magonjwa yanayotokea kweli hayatajwi (kama maambukizo ya kifupa, kukaza mno musuli za taya, nk). Kipala (majadiliano) 19:06, 6 Februari 2018 (UTC)

Inaonekana kuna watu wawili wanachangia mada za afya na tiba ili kupendekeza bidhaa zao. Mmoja alitangulia (Jimmwandishi), mwingine alifuata (Hreflafa). Nimewavumilia nikijaribu kurudisha michango yao katika taratibu za Wikipedia, lakini... --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:20, 7 Februari 2018 (UTC)