Majadiliano:Nikolaus von Zinzendorf

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ah, babu, makala bado Kijerumani!--MwanaharakatiLonga 14:43, 25 Machi 2011 (UTC)

Asante sana kwa kuwa kiangalifu! Ila tu hii ilikuwa Kiholanzi, nikaihifadhi haraka kwa sababu nilipaswa kwenda mbali na mashine bila kumaliza makala nikaogopa inaweza kupotea kama mtu mwingine wa familia anatumia kompyuta na nilikuwa mwivu kuhifadhi kwanza kama faili ya kawaida kabla ya kupachika wikipedia. Kweli - mfano mbaya - usiige kamwe!! Kipala (majadiliano) 20:57, 25 Machi 2011 (UTC)
Mzee Kipala unatisha! Kumbe hadi Kiholanzi unang'amu vizuri kabisa? Hongera! Eh, kamwe sitoiga!! Bila kusahau mambo hutokea!--MwanaharakatiLonga 05:53, 26 Machi 2011 (UTC)