Majadiliano:Neptuni (sayari)

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nimeandika makala nyingine juu ya sayari hii, lakini nimetumia jina la Neptune. Makala ya Neptun inaonekana kuwa ni mbegu. Hivyo tunafanyeje? (mchango wa mtumiaji:Moseskehengu 7 Januari 2010 saa 23:10 - imeongezwa na Kipala (majadiliano) 20:50, 22 Aprili 2011 (UTC))[jibu]

What resources did you use to find the translation of this planet's name? --Mjanja 22 Aprili 2011
Kumbe, kuna mchango juu uliokaa tu. Lazima tuangalie - itakuwa ni kazi . Kuhusu majina: kama kwa sayari zote za nje ni majina ya kimataifa, hakuna majina ya Kiswahili chenyewe. Tukiunganisha tunaweza kutafakari kutumia pendekezo la TUKI (nisipokosei hapa kuna jina 1 tu katika kamusi zao) Kipala (majadiliano) 20:50, 22 Aprili 2011 (UTC)[jibu]
Jina la sayari hiyo lisitafsiriwe. Kamusi ya TUKI haifanyi hivyo. Kwa majina ya sayari kwa kawaida Kiswahili hutumia jina la Kiarabu, ila Neptun imechelewa kugunduliwa jinsi hata Kiarabu kinaitaja kama Neptun. Kuhusu swali la kuongeza irabu mwishoni kama "Neptuni", tayari kuna elekezo (#redirect) kutoka Neptuni kwenda Neptun. Makala hii lakini ibaki kama makala kuu. Asante, --Baba Tabita (majadiliano) 12:06, 23 Aprili 2011 (UTC)[jibu]
Makala iliwahi kuhamishwa kwenda "Kausi" inaitwa hivyo katika vitabu kadhaa vya shule ya msingi, nasikia pia katika kamusi moja mpya. Baada ya kupata makala ya mtaalamu wa Kiswahili Jan Knappert anayetaja majina ya Kiswahili kwa nyota nyingi na kuona humo ya kwamba Kausi ni jina kwa kundinyota "Sagittarius" nimeirudisha tena kwa Neptun.Kipala (majadiliano) 09:32, 24 Aprili 2017 (UTC)[jibu]