Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Mzee Majuto

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Katika kuandika makala. Naona kuna mengi ya kusadikika. Labda tungeondoa dhana ya kudaiwa au inasemekana. Tuweke point moja kwa kwa moja alikuwa huyu na huyu. Alifanya hili na hili!--Muddyb Mwanaharakati Longa 10:05, 9 Agosti 2018 (UTC) [jibu]

Sawa kabisa! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:08, 9 Agosti 2018 (UTC)[jibu]