Majadiliano:Mlasisimizi Mkubwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

"Mhanga mkubwa" ni tafsiri sisisi ya "giant anteater", lakini kama mkitumia neno la "kiharara" (mnyama mkubwa afananaye na mhanga), nitakubali. Mna fikira zingine?Mjanja (majadiliano) 14:38, 1 Agosti 2011 (UTC)

You gotta be kidding me, man? What was that? You really rock my world, mate, for that improvement. Si mbaya, lakini kama nilivyosema hapo awali - ni afadhali ChriKo atie mkono wake halafu sie wengine tutafuatia! Unaonaje? Au una haraka sana?--MwanaharakatiLonga 16:04, 1 Agosti 2011 (UTC)