Mlasisimizi Mkubwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlasisimizi mkubwa
Mlasisimizi mkubwa (Myrmecophaga tridactyla)
Mlasisimizi mkubwa (Myrmecophaga tridactyla)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele)
Nusungeli: Eutheria
Oda: Pilosa
Nusuoda: Vermilingua (Wanyama kama walasisimizi)
Familia: Myrmecophagidae (Wanyama walio na mnasaba na walasisimizi)
Jenasi: Myrmecophaga
Linnaeus, 1758
Spishi: M. tridactyla
Linnaeus, 1758

Mlasisimizi mkubwa (Myrmecophaga tridactyla) ni spishi kubwa kushinda walasisimizi wote. Spishi hii ni pekee katika jenasi Myrmecophaga.

Walasisimizi hutumia ulimi wao mrefu na wa kunata ili kukamata sisimizi na mchwa katika kichuguu cha wadudu hawa.

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mlasisimizi Mkubwa kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.