Majadiliano:Mitume na Manabii katika Uislamu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Talmud ??[hariri chanzo]

Je Talmud ya Kiyahudi ina kazi gani katika makala juu ya mitume katika Uislamu? --Kipala (majadiliano) 12:21, 6 Desemba 2008 (UTC)

Sijui. Mimi nimerekebisha kidogo ukurasa huo walau ueleweke zaidi na uwe na links nyingi zaidi. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:26, 10 Desemba 2008 (UTC)