Majadiliano:Masoko (Kilwa)

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Majina kama Masoko (Majengo, Uzunguni, nk) ni kawaida mahali pengi. Naona afadhali tukifikiri ni jina linalotumiwa penginepo tuongeze jina la wilaya katika mabano. Hii sababu nimehamisha makala, linganisha Masoko (Rungwe). --Kipala (majadiliano) 07:59, 13 Januari 2009 (UTC)[jibu]

Kumne naona makala ipo tayari "Kilwa Masoko" - basi naunganisha. --Kipala (majadiliano) 09:06, 13 Januari 2009 (UTC)[jibu]

Haina neno mzee wangu, we unganisha tu!--Mwanaharakati (Longa) 09:52, 13 Januari 2009 (UTC)[jibu]