Majadiliano:Maryland

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mkoa au wilaya[hariri chanzo]

Naona kwa matumizi ya Kiswahili cha kawaida Washington DC si wilaya tu zaidi mkoa au hata jimbo chini ya shirikisho. Kwa hiyo nimerejesha badiliko. Mnaonaje? --Kipala (majadiliano) 14:03, 5 Julai 2008 (UTC)[jibu]

Upo sahihi!!--Mwanaharakati (majadiliano) 14:12, 5 Julai 2008 (UTC)[jibu]