Majadiliano:Mambo yaliyompata Pinokyo
Mandhari
Kichwa kina kosa, yaani o baada ya yali. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:31, 13 Julai 2014 (UTC)
- Hamisha makala ndugu.--MwanaharakatiLonga 15:08, 13 Julai 2014 (UTC)
- Sielewi - unataka iwe "Pinoky"?? Kipala (majadiliano) 17:05, 13 Julai 2014 (UTC)
- Mzee Kipala ni hapa: "yali-o-yompata".. Iondoke!--MwanaharakatiLonga 05:28, 14 Julai 2014 (UTC)
- Woiwoi - uzee, jamani, uzee! Kipala (majadiliano) 07:28, 15 Julai 2014 (UTC)
- Mzee Kipala ni hapa: "yali-o-yompata".. Iondoke!--MwanaharakatiLonga 05:28, 14 Julai 2014 (UTC)