Majadiliano:Makanisa ya Kikelti

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Selti au Kelti?[hariri chanzo]

Tuna makala ya Wakelti na umbo hili la jina limeshatumiwa mara kadhaa linganisha hapa: Maalum:VingoViungavyoUkurasahuu/Wakelti.

Je ingekuwa vigumu kuhamisha hata makala hii kuwa "Makanisa ya Kikelti"?? Kipala (majadiliano) 10:03, 27 Januari 2018 (UTC)[jibu]

Hakuna shida. Shalom. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:21, 27 Januari 2018 (UTC)[jibu]