Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Madhara yasiyokusudiwa

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Majadiliano:Madhara yasiyolengwa)
Latest comment: miaka 12 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Kuna jina linalofaa zaidi ya hili? Sina uhakika sana Collateral damage kwa tafsiri hii niliyoiweka. Tafadhali toeni mchango wenu!--MwanaharakatiLonga 12:11, 14 Machi 2013 (UTC)Reply

Naona ni zaidi madhara ya kando, madhara yasiyolengwa.Kipala (majadiliano) 15:30, 14 Machi 2013 (UTC)Reply
Shukrani Mzee Kipala kwa msaada wako. Nimefanya kadiri ipasavyo!--MwanaharakatiLonga 06:16, 15 Machi 2013 (UTC)Reply