Majadiliano:Lugha ya kikabila
Mandhari
Istilahi hii haikubaliwi na wataalamu. Kila lugha asilia ni lugha inayozungumzwa na watu wa kabila fulani. Hata kwa wikipedia ya Kiingereza, hakuna makala kuhusu "tribal language" bali kuna makala kuhusu "first language" (yaani lugha ya kwanza), na "mother tongue" yairejea (= lugha ya mama). Ndiyo sababu nashauri ifutwe. --Baba Tabita (majadiliano) 18:15, 25 Septemba 2011 (UTC)