Lugha ya kikabila

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lugha ya kikabila (kwa Kiingereza: vernacular language) ni lugha inayotumiwa hasa na watu wa kabila fulani, isifikie kiwango che kutumika katika nchi nzima.

Kwa kawaida kabila lolote lina lugha yake, ingawa si kila mara ni hivyo.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha ya kikabila kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.