Majadiliano:Jackie Gleason

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Huyu sasa ni wa tatu kuingizwa na template katika Jamii:Watu walio hai, huku amefariki dunia tayari... Nyinyi mnaojua kurekebisha mambo hayo, fanyeni kitu! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:03, 7 Septemba 2014 (UTC)[jibu]

Sababu yake ni kile kigezo "BD" (=birth date, yaani waliozaliwa mwaka fulani). Nimekifuta sasa uhai umekwisha (nimewua je?). Baadaye nimeondoa pia maneno "watu walio hai" katika kodi ya Kigezo:BD. Tuone. Naona afadhali Muddy aiangalie, anajua mambo haya kuliko mimi. Kipala (majadiliano) 13:36, 7 Septemba 2014 (UTC)[jibu]
Mzee Kipala. Rudisha toleo la zamani! Inatakiwa iwe hivi: {{BD|1925|2008|Jackie,Gleason}} - yaani, ukiandika ni lazima utaje miaka miwili. Kuzaliwa na kufa! Inajisemea yenyewe... Haya, mchana mwema!--MwanaharakatiLonga 10:43, 8 Septemba 2014 (UTC)[jibu]

Naona tatizo ni hilo: kama mtu ananakili (si makala nilizotunga mimi) muundo wa makala ya mtu hai penye kigezo hiki kwenda kwa mtu aliyefariki kinaingiza "Jamii:Watu walio hai" - kama huyu mtu hajui siri ya kigezo. Naona labda uingize maelezo yanayoeleza haya kwenye kigezo. Menginevyo tatizo litarudia (jinsi alivyotazama Riccardo) na sisi tulio wengi hatujui namna ya kukitumia.

Kwnagu umekieleza sasa lakini wengine? Je unaonaje tutumie njia gani? Kipala (majadiliano) 18:51, 8 Septemba 2014 (UTC)[jibu]

Basi sawa wazee wangu nitaweka maelekezo. Wenu,--MwanaharakatiLonga 08:28, 9 Septemba 2014 (UTC)[jibu]