Majadiliano:Homa ya manjano

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tafadhali angalia makala juu ya hepatitis. Suala (tafsiri) inaweza kuwa na makosa kwa sababu zote mbili kutumia "homa ya manjano."--Lucas559 (majadiliano) 17:51, 17 Agosti 2015 (UTC)[jibu]

Ni kweli, Waswahili wengi husema "homa ya njano" kwa maradhi mbalimbali yanayosababisha rangi hiyo. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:57, 18 Agosti 2015 (UTC)[jibu]