Majadiliano:Historia ya awali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Jina la ukurasa ni tofauti kidogo na lilivyo mwanzoni mwa makala. Tufanye nini? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:38, 17 Juni 2015 (UTC)

Ni kosa. Sina hakika kama ilikuwa wazo zuri kuanzisha makala hii. TUKI-ESD ina "kabla ya historia" kwa "prehistoric". Labda afadhali bila kistari ungio? Naomba sahihishe jinsi unavyoona vema Kipala (majadiliano) 16:04, 17 Juni 2015 (UTC)
Hongera, uhamisho unafaa!Kipala (majadiliano) 16:12, 18 Juni 2015 (UTC)