Majadiliano:Haruna Niyonzima
Mandhari
Ni makala iliyotungwa na kijana Silausi. Kasoro ni ifuatazo:
- jina la makala kwenye mwanzo wa mstari wa kanza inekane kwa herufi koze
- asitumie maneno kama "mashuhuri" - au alete vyanzo. Klabu ni klabu, "mashuhuri" ni hoja si habari. Angeweza kusema "klabu ya ligi kuu" au lugha nyingine ya habari.
- kila makala inahitaji jamii.
Kipala (majadiliano) 08:10, 3 Septemba 2015 (UTC)
- Bado hakuna jamii. Kipala (majadiliano) 22:13, 5 Septemba 2015 (UTC)
- Nimeisawazisha.--MwanaharakatiLonga 13:10, 16 Septemba 2015 (UTC)