Haruna Niyonzima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Haruna Niyonzima
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 2 Mei 1990 (1990-05-02) (umri 29)
Mahala pa kuzaliwa    Kigali, Rwanda
Nafasi anayochezea kiungo mchezeshaji
Maelezo ya klabu
Klabu ya sasa Simba Sc
Namba 8
Timu ya taifa
Rwanda

* Magoli alioshinda

Haruna Niyonzima (amezaliwa mjini Gisenyi, 5 Februari 1990) ni mchezaji mpira wa miguu wa kimataifa kutoka nchini Rwanda ambaye kwa sasa anacheza kama kiungo katika kilabu ya Simba S.C. huko nchini Tanzania.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Niyonzima amepata kuchezea kilabu mbalimbali za Rwanda na Tanzania. Kilabu hizo ni pamoja na Etincelles, Rayon Sports, APR na Young Africans.[1]

Alianza kucheza rasmi katika timu ya taifa ya Rwanda mnamo 2007,[1] na ameonekana katika mechi za kufudhu Kombe la Dunia la FIFA.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Haruna Niyonzima at National-Football-Teams.com
  2. Haruna Niyonzima FIFA competition record
Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Haruna Niyonzima kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.