Majadiliano:Fizikia ya nyuklia

Page contents not supported in other languages.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nyuklia - kiini cha atomi[hariri chanzo]

Matumizi ya "nyuklia" hapa si jinsi tunavyoitumia hadi sasa katika wikipedia. Maana tumetumia hadi sasa "kiini cha atomi" kwa "nucleus" ya atomi. Nyuklia inataja mambo ya utafiti an nishati ya mambo ndani ya atomu kwa jumla. Hii inahitaji ama sahihishio ya makala nyingu au tubadilishe. Kipala (majadiliano) 20:57, 8 Julai 2017 (UTC)Reply[jibu]

Samahani, sijaelewa. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:07, 9 Julai 2017 (UTC)Reply[jibu]