Nenda kwa yaliyomo

Fizikia ya nyuklia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Atomu
Mfano wa atomu.

Fizikia ya nyuklia ni sehemu ya fizikia ambayo inahusu kiini cha atomu. Kila kitu duniani kimeundwa na atomu, iliyo sehemu ndogo zaidi ya kipengele cha kemikali ambayo bado ina sifa ya kipengele hicho maalumu. Wakati atomu mbili au zaidi zinapoungana zinaunda molekyuli ambayo ni sehemu ndogo ya kampaundi ya kemikali ambayo bado ina sifa za kampaundi maalum. Kuelewa muundo wa atomu ni ufunguo wa masomo kama fizikia, kemia, biolojia n.k.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fizikia ya nyuklia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.