Majadiliano:Figo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kuna mtu apendaye kuchangia maoni yake? Nimetafsiri moja kwa moja toka ukurasa wa kingereza juu jambo hilolilo.

Jaribio ni zuri, asante. Afadhali ujiandikishe akaunti tujue tunaongea na nani. Baadaye tutashauriana kuhusu makala hii. Karibu!--Kipala (majadiliano) 01:13, 15 Januari 2009 (UTC)
Eti na mini nimeongezea picha na InterWiki kwa makala hii walau ionekane!--Mwanaharakati (Longa) 07:01, 15 Januari 2009 (UTC)


Nimenyosha lugha kidogo (bado yote) na kuweka viungo. Sentensi ya kwanza bado haieleweki. Tunaweza kusema: ina kazi kama filta?--78.53.182.84 20:05, 18 Januari 2009 (UTC)