Majadiliano:Baibui

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Baibui Badala ya Buibui[hariri chanzo]

Habari wahariri, nadhani jina sahihi ni baibui badala ya buibui. ref https://www.google.com/search?client=firefox-b-d&q=baibui Czeus25 Masele (majadiliano) 21:17, 28 Februari 2020 (UTC)[jibu]

KKK inakubali zote mbili. Ndiyo maana nimeweka elekezo kwenye ukurasa mtarajiwa "baibui". Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:29, 1 Machi 2020 (UTC)[jibu]