Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Afande Sele

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Habari za kimsingi zakosekana[hariri chanzo]

Makala yakosa habari za kimsingi kama umri / tarehe au angalau mwaka wa kuzaliwa, elimu n.k. Nashukuru ya kwamba jina raia limo --Kipala 16:31, 25 Agosti 2007 (UTC)[jibu]

Labda tujivunie tu kwamba Wikipedia yetu itakuwa na habari za msingi nyingi zenye kuhusu makala zote zisizokuwa na mwaka wala tarehe ya kuzaliwa kwa wasanii hao. Naona kwa Tanzania bado hawaja jua nini maana ya Wikipedia, lakini sasa nimeshaanza kutoa somo hili kwa baadhi ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya. Jana tu nilikuwa na Dknob, na akaelezea mengi yanamhusu na juzi usiku niliongea na Afande Sele naye pia ameweza kunitajia amezaliwa mwaka gani! Lengo langu kuu ni kuhakikisha hadi mwaka huu wote unaisha, Wikipedia iwe ishafahamika katika masikio ya wengi maana watu wa Tanzania wengi hawaijui. Lakini hawa wasanii wao wana uwezo wa kuipromote kwa kiasi kikubwa kabisa, hivyo tuombeane uhai ili niweze kuwasiliana nao zaidi.....--Mwanaharakati (majadiliano) 14:27, 16 Juni 2008 (UTC)[jibu]
Unafanya vizuri tena naona wale wanamusiziki ni mlango mwema kwa mioyo wa vijana watakaokuwa watumiaji wa wikipedia hasa! --Kipala (majadiliano) 10:12, 17 Juni 2008 (UTC)[jibu]