Mai Kyokawa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mai Kyokawa (alizaliwa 28 Desemba 1993) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae alicheza kama mshambuliaji wa klabu ya FFC Turbine Potsdam inayoshiriki ligi ya wanawake ya Bundesliga Frauen huko Ujerumani. Kwasasa ni kocha msaidizi wa timu ya taifa ya wanawake ya Japan.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. FIFA
  2. List of match in 2012, 2015 Archived 2018-08-11 at the Wayback Machine at Japan Football Association
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mai Kyokawa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.