Nenda kwa yaliyomo

Maggie Laubser

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maggie alivyojichora mwaka 1928.

Maggie Laubser (1886-1973) alikuwa mchoraji na mchapaji wa Afrika Kusini. Pamoja na Irma Stern alihusika kutambulisha sanaa ya "kujieleza" katika Afrika Kusini. Mwanzoni alikosolewa sana, lakini baadaye alikubaliwa na kutazamwa kuwa msanii muhimu katika historia ya sanaa nchini.

Maisha ya mapema na elimu[hariri | hariri chanzo]

Maria Magdalena Laubser alizaliwa kwenye shamba la ngano Bloublommetjieskloof karibu na Malmesbury, katika Swartland eneo lenye mazao ya kilimo nchini Afrika Kusini. Alikuwa wa kwanza kati ya watoto sita wa Gerhardus Petrus Christiaan Laubser na Johanna Catharina Laubser (née Holm).[1] Laubser's youth was dominated by the rural and pastoral and she delighted in this carefree existence.[2][3]

Holland na England[hariri | hariri chanzo]

Laubser na dada yake waliondoka kwenda Uropa mnamo 4 Oktoba 1913,mwanzoni niliishi katika koloni la wasanii huko,Laren, North Holland|Laren, Noord-Holland]]katika eneo linaloitwa het Gooi. Alikutana na Ita Mees, mpiga piano wa tamasha na Frederik van Eeden, mwandishi na mshairi. Alifanya urafiki pia na Laura Knight na Frans Langeveld, wote wakiwa wachoraji.

Picha zake[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

  1. Bokhorst, M. (1969). Maggie Laubser – Retrospective Exhibition, 3rd July – 2nd Sept., 1969 (PDF). Cape Town: South African National Gallery.
  2. Schutte, Jan. Die Wêreld van Maggie Laubser. Transcript from the University of Stellenbosch (U.S. 79/3/1) for radio talk on Afrikaans service, South African Broadcasting Corporation, 21 May 1972.
  3. Laubser, Maggie. 1956. Dit is my Kontrei. Transcript from the University of Stellenbosch (U.S. 79/4/5) for radio talk on Afrikaans service, South African Broadcasting Corporation, 21 February 1956.