Mae Azango

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mae Azango ni mwanahabari wa Liberia anayefanya kazi na jarida la 'FrontPage Africa'. Anajulikana zaidi kwa makala yake juu ya masuala ya ukeketaji kwa wanawake, harakati ambazo zilisaidia kusitisha ukeketaji nchini humo.

Mwaka 2012 alitunukiwa tuzo ya kimataifa ya uhuru wa vyombo vya habari (International Press Freedom Award) na tume ya mradi wa wanahabari.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mae Azango kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.