Madhabahu ya Komarock

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Madhabahu ya Komarock (kwa Kiingereza Komarock shrine) ni sehemu ya ibada iliyopo mjini Nairobi, Kenya. Anwani yake ni Kangundo Road nje mwa jiji la Nairobi. Eneo hilo linatumiwa na dini la wakatoliki na linaaminika kuwa kuliwahi onekana Maria mtakatifu katika sehemu hii.

Icon-religion.png Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Madhabahu ya Komarock kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.