Nenda kwa yaliyomo

Patakatifu pa Komarock

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Patakatifu pa Komarock (kwa Kiingereza Komarock shrine) ni sehemu ya ibada iliyopo nje ya jiji la Nairobi, Kenya. Anwani yake ni Kangundo Road, Nairobi. Eneo hilo kwa sasa linatumiwa na Wakatoliki na linaaminika kuwa kuliwahi kuonekana Bikira Maria mtakatifu katika sehemu hii.

Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Patakatifu pa Komarock kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.