Maangamizi ya Guelb El-Kebir
Mandhari
Mauaji ya Guelb El-Kebir yalitokea katika kijiji cha Guelb el-Kebir, karibu na Beni Slimane, katika mkoa wa Medea, Algeria, mnamo tarehe 20 Septemba mwaka 1997.[1] Watu 53 waliuawa na washambuliaji ambao hawakutambuliwa mara moja, ingawa shambulio lilikuwa kama mengine yaliyofanywa na makundi ya kigaidi yanayopinga serikali ya Algeria.[2]
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ "53 die in Algerian massacre". Daily Dispatch. 22 Septemba 1997. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Februari 2005. Iliwekwa mnamo 11 Mei 2017.
- ↑ "53 Algerians Massacred as Killing Goes On". The New York Times. 22 Septemba 2017. Iliwekwa mnamo 11 Mei 2017.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maangamizi ya Guelb El-Kebir kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |