Matokeo ya utafutaji
Mandhari
Showing results for neno. No results found for Nebuno.
- Neno ni sehemu fupi ya lugha yenye maana. Ni sauti inayotamkwa au kuandikwa pamoja na kutaja jambo fulani. Neno linaweza kuwa fupi lenye mofimu (yaani...2 KB (maneno 289) - 15:20, 27 Februari 2024
- Mzizi (elekezo toka kwa Mzizi wa neno)ya neno ambayo haibadiliki hata kama neno litafanyiwa uambishaji, ukanushi, unyambulishaji na kadhalika. Sehemu hii ikibadilika, hata dhana ya neno hilo...3 KB (maneno 404) - 12:34, 4 Agosti 2024
- Etimolojia ya neno "Zanzibar" inaonyesha ya kuwa ni jina la kale sana. Hakuna hakika kabisa kuhusu asili ya neno hilo. Etimolojia ni elimu ya asili ya...4 KB (maneno 496) - 15:13, 9 Oktoba 2021
- Neno la Mungu ni namna ambayo wafuasi wa dini kadhaa wanavyotazama misahafu yao ili kusisitiza imani yao ya kuwa hiyo iliandikwa kadiri ya Mungu na kuleta...562 bytes (maneno 72) - 07:54, 5 Januari 2021
- Wilaya ya Neno ni wilaya mojawapo katika Kanda ya Kusini nchini Malawi....231 bytes (maneno 12) - 10:22, 19 Februari 2022
- Liturujia ya Neno ndiyo sehemu kuu ya kwanza ya Misa, lakini inaweza kufanyika hata nje ya Misa kwa sababu kwa Wakristo Neno la Mungu ni lishe ya kwanza...1 KB (maneno 172) - 09:10, 16 Septemba 2016
- Neno ni jina ambalo katika Agano Jipya Mtume Yohane anamwita hivyo Yesu Kristo ili kueleza asili yake ya Kimungu (Yoh 1:1) kabla ya kuzaliwa binadamu (Yoh...5 KB (maneno 625) - 08:02, 5 Januari 2021
- Mzungu ni neno la Kiswahili kumtaja mtu anayeonekana ametoka Ulaya. Mara nyingi, mtu ambaye amechukua utamaduni wa Kiulaya huitwa "Mzungu" hata asipokuwa...3 KB (maneno 400) - 19:21, 21 Septemba 2024
- Mchoro ni neno la Kiswahili ambalo linatokana na kitenzi kuchora. Kwa lugha ya Kiingereza neno mchoro hujulikana kama picture, ambalo Waswahili wameligeuza...574 bytes (maneno 58) - 08:42, 15 Julai 2020
- Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno: ardhi Neno ardhi laweza kumaanisha: Nchi kavu yaani sehemu ya dunia ambayo haijafunikwa...314 bytes (maneno 53) - 22:22, 2 Novemba 2020
- Zanzibar ni neno linalotaja Kijiografia Funguvisiwa la Zanzibar kwenye mwambao wa Afrika ya Mashariki hasa visiwa vikubwa vya Unguja na Pemba pamoja na...2 KB (maneno 217) - 14:37, 8 Novemba 2023
- solstice), yaani wakati Jua linapokuwa kusini kabisa mwa Ikweta. Neno Desemba limetokana na neno la Kilatini "decem" linalomaanisha "kumi." Desemba ulikuwa...546 bytes (maneno 88) - 21:18, 24 Desemba 2017
- Dogma (fungu Asili ya neno)Dogma ni neno linalotumika hasa kumaanisha fundisho la imani lisiloweza kukanushwa na wafuasi wa dini fulani. Linaweza kutumika pia kwa maana isiyo ya...818 bytes (maneno 96) - 12:26, 6 Septemba 2017
- Bahari ni eneo kubwa lenye maji ya chumvi. Katika Kiswahili cha kila siku neno hili hutumiwa pia kwa kutaja magimba madogo zaidi ya maji kama vile ziwa...2 KB (maneno 298) - 13:56, 24 Februari 2023
- Mtaalamu (kutoka neno la Kiarabu lenye mzizi mmoja na neno 'elimu') mara nyingi humaanisha mtu ambaye ni bingwa katika taaluma fulani. Mtaalamu anaaminika...1 KB (maneno 91) - 11:40, 9 Novemba 2023
- Faida ni neno linalotumika baada ya matokeo yanayohushisha mchakato fulani ambao umetokea kwa lengo fulani na kusababisha matokeo yenye mtazamo chanya...762 bytes (maneno 111) - 23:38, 10 Machi 2013
- Mamlaka (kutoka Kiarabu; kwa Kiingereza "authority" kutoka neno la Kilatini auctoritas) linaweza kutumika kumaanisha haki ya kisheria ya kutumia nguvu...2 KB (maneno 177) - 15:23, 27 Oktoba 2023
- Shina la neno ni sehemu ya neno inayotumika kuundia neno jipya. Kuna aina kuu tatu za mashina neno, nazo ni: 1. Shina sahili 2. Shina ambatano 3. Shina...580 bytes (maneno 92) - 12:02, 19 Septemba 2015
- Jina ni neno au maneno ambayo wanapewa watu, wanyama, nchi, vitu n.k. kwa ajili ya utambulisho. Utamaduni, kwa njia ya sheria au desturi, ndio unaoratibu...1 KB (maneno 154) - 20:45, 22 Novemba 2024
- dunia. Kinyume chake ni kaskazini. Jina "kusini" laaminiwa limetokana na neno lenye asili ya Misri ya Kale kwa ajili ya nchi ya Kushi iliyokuwepo upande...1 KB (maneno 165) - 16:50, 11 Machi 2013