Nenda kwa yaliyomo

Matokeo ya utafutaji

Showing results for binti. No results found for BinXy.
Tazama (20 zilizotangulia | ) (20 | 50 | 100 | 250 | 500)
  • Thumbnail for Binti
    Binti (kutoka Kiarabu) ni mtoto wa kike. Hata mwanamke aliyekua anaweza kutajwa au kujitaja hivyo kati ya jina lake na lile la baba yake....
    339 bytes (maneno 24) - 14:59, 14 Agosti 2020
  • Thumbnail for Siti Binti Saad
    Siti binti Saad (alizaliwa Fumba, Zanzibari, 1880 akapewa jina la 'Mtumwa' kwa vile alizaliwa kipindi cha utumwa wa Kiarabu. Jina la Siti alipewa na kabaila...
    7 KB (maneno 1,015) - 11:56, 13 Januari 2024
  • Thumbnail for Binti Yairo
    Binti Yairo ni maarufu kama msichana aliyefufuliwa na Yesu Kristo kama inavyosimuliwa na Injili ndugu (Mk 5:21–43; Math 9:18–26; Lk 8:40–56). Yairo, baba...
    951 bytes (maneno 76) - 06:18, 23 Oktoba 2017
  • Binti ni jina la: Binti Siti Binti Saad Binti Yairo Binti (albamu) Binti (filamu ya 2021) Fatuma Binti Baraka...
    210 bytes (maneno 19) - 09:31, 12 Januari 2023
  • Binti ni filamu ya kuigiza ya Tanzania ya mwaka 2021 iliyoongozwa na Seko Shamte na kutayarishwa na mkurugenzi mwenyewe na Alinda Ruhinda na Angela Ruhinda...
    3 KB (maneno 374) - 14:41, 16 Mei 2023
  • Mwana Kupona binti Msham (alizaliwa katika kisiwa cha Pate na kufariki mwaka 1865) alikuwa mshairi wa Kiswahili katika Karne ya 19 na mwandishi wa Utenzi...
    1 KB (maneno 148) - 07:16, 8 Agosti 2022
  • Thumbnail for Binti (albamu)
    Binti ni jina la albamu ya pili ya mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania, Lady Jay Dee. Albamu imetoka mwaka wa 2003. Albamu imetayarishwa...
    25 KB (maneno 2,586) - 18:37, 21 Oktoba 2022
  • Maria binti Saturninus ni jina la mmojawapo katika kundi la Wakristo 49 ambao mwaka 304, wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian, walihukumiwa kwa kuadhimisha...
    5 KB (maneno 533) - 14:23, 24 Septemba 2019
  • Martha binti Pusisi (alifariki nchini Uajemi, 341) ni kati ya Wakristo elfu kadhaa, waliouawa kwa sababu ya imani yao katika dhuluma ya mfalme Sabor II...
    2 KB (maneno 200) - 13:05, 27 Desemba 2022
  • Thumbnail for Bi Kidude
    Bi Kidude (elekezo toka kwa Fatuma Binti Baraka)
    ' Bi Kidude (jina halisi: Fatuma binti Baraka; amefariki Bububu, Zanzibar, 17 Aprili 2013, akikisiwa kuwa na umri wa miaka 102) alikuwa gwiji wa muziki...
    4 KB (maneno 556) - 07:58, 15 Mei 2024
  • Thumbnail for Istanbul
    alikuwa na binti yake mrembo ambaye alimpenda sana. Watabiri walitabiri kuwa kifo cha binti huyo kitatokana na kugongwa na nyoka. Katika kumlinda binti yake...
    5 KB (maneno 567) - 09:53, 11 Mei 2023
  • Thumbnail for Audrey Raines
    Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika unachezwa na Glenn Morshower. Huyu ni binti wa Waziri wa Ulinzi wa Marekani Bw. James Heller. Huyu ni kipenzi cha nyota...
    720 bytes (maneno 44) - 07:06, 19 Novemba 2018
  • yule binti ana njama za kuteka wanyama wa msituni pamoja na kumteka Tarzan pia. Lakini Tarzan anajaribu kila anachokiweza na kwa ushirikiano wa binti yule...
    1 KB (maneno 193) - 15:58, 29 Desemba 2023
  • Thumbnail for Mariamu katika Kurani
    dada wa Haruni na Musa, aliyekuwa na jina hilohilo, hivyo anatajwa kama binti Imrani. Pia habari nyingine kadhaa zinapishana na zile za Injili. Hata hivyo...
    2 KB (maneno 254) - 13:17, 12 Januari 2024
  • Thumbnail for Papa Alexander VI
    hajachaguliwa kuwa Papa alimwacha Vannozza akaanza uhusiano na binti Giulia Farnese aliyezaa naye binti mwaka 1492, alipokuwa Papa tayari. Mwanawe Cesare Borgia...
    6 KB (maneno 649) - 13:13, 20 Machi 2022
  • Thumbnail for Yairo (Injili)
    Kiongozi wa sinagogi fulani, alikuwa amemkimbilia kwa imani Yesu kwa ajili ya binti yake. Walipofika nyumbani walikuta msiba umeshaanza, lakini Yesu alifukuza...
    969 bytes (maneno 84) - 06:33, 23 Oktoba 2017
  • Thumbnail for Moscow
    watawala wa maeneo makubwa zaidi hadi kusimamia Urusi wote. Iwan III. alimwoa binti kutoka familia ya makaisari wa Bizanti na baada ya Bizanti kutwaliwa na...
    2 KB (maneno 212) - 15:01, 26 Julai 2020
  • Fatuma binti Yusuf al-Alawi (takriban 1650 – 1715) alikuwa malkia wa Unguja katika Zanzibar ya kabla ya Sultaniya. Alikuwa mfuasi wa Wareno katika vita...
    5 KB (maneno 528) - 15:10, 18 Aprili 2024
  • Thumbnail for Athena
    Ἀθηναίη, Athēnaiē; Kiionia: Ἀθήνη, Athēnē; Kidoriki: Ἀθάνα, Athana) alikuwa binti wa Zeu na Meti. Katika mitholojia ya Kigiriki alikuwa mungu wa kike wa busara...
    1,000 bytes (maneno 43) - 21:52, 22 Aprili 2015
  • Thumbnail for Hestia
    Hestia (Kigiriki Ἑστία, Hestía) alikuwa binti wa Titani Krono na Rea na mungu wa kike wa moto wa meko katika mitholojia ya Kigiriki. Analingana na Vesta...
    907 bytes (maneno 32) - 16:12, 11 Machi 2013
Tazama (20 zilizotangulia | ) (20 | 50 | 100 | 250 | 500)