Matokeo ya utafutaji

Showing results for antonio. No results found for Antonjj.
Tazama (20 zilizotangulia | ) (20 | 50 | 100 | 250 | 500)
  • Thumbnail for San Antonio, Texas
    San Antonio (yaani "Mtakatifu Antoni") ni mji wa Marekani katika jimbo la Texas. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi...
    1 KB (maneno 66) - 19:42, 22 Julai 2020
  • Thumbnail for Antonio Vivaldi
    Antonio Vivaldi (4 Machi 1678 mjini Venice - 28 Julai 1741 mjini Vienna) alikuwa mtunzi wa nyimbo kutoka nchi ya Italia. [1] A play on video about Antonio...
    4 KB (maneno 298) - 00:15, 9 Julai 2023
  • San Antonio Spurs ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini San Antonio, Texas. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara...
    695 bytes (maneno 40) - 12:28, 10 Julai 2021
  • Antonio Martin alipigwa risasi mnamo Desemba 23, 2014, huko Berkeley, Missouri, kitongoji cha St.Louis. Antonio Martin, mvulana mweusi mwenye umri wa...
    989 bytes (maneno 74) - 10:02, 24 Agosti 2022
  • Thumbnail for Antonio Casale
    Antonio Casale (Acceglio, 17 Mei 1932 – Civita Castellana, 4 Februari 2017) alikuwa mwigizaji wa filamu wa Italia kwa miaka ya 1960 na 1970, ambaye pia...
    2 KB (maneno 118) - 11:41, 17 Novemba 2023
  • Thumbnail for Antonio Valencia
    Luis Antonio Valencia Mosquera (anayejulikana sana kama Antonio Valencia; alizaliwa 4 Agosti, 1985) alikuwa mchezaji wa kandanda, kiungo cha kati mwenye...
    7 KB (maneno 580) - 11:24, 20 Aprili 2024
  • Thumbnail for Antonio Maria Pucci
    Antonio Maria Pucci, O.S.M. (Poggiole di Vernio, Toscana, 16 Aprili 1810 – Viareggio, Italia, 12 Januari 1892), alikuwa padri mtawa wa Kanisa Katoliki...
    2 KB (maneno 177) - 13:34, 17 Mei 2022
  • Thumbnail for Antonio de Bellis
    Antonio de Bellis (1616 - 1656) alikuwa mchoraji wa Baroque kutoka Napoli, Italia. Ukombozi wa Mtume Petro (1635/1660) Mtume Sebastia (1640) Wikimedia...
    580 bytes (maneno 29) - 12:30, 10 Julai 2021
  • Thumbnail for Antonio Casas
    Antonio Casas (La Coruña, Galicia, 11 Novemba 1911 - Madrid, Hispania, 14 Februari 1982) alikuwa mchezaji mpira wa miguu wa Hispania, aliyekuja kuwa mwigizaji...
    2 KB (maneno 135) - 11:44, 17 Novemba 2023
  • Thumbnail for Antonio Meucci
    Antonio Meucci (Firenze, Italia, 13 Aprili 1808 – New York, Marekani, 18 Oktoba 1889) alikuwa Mwitalia aliyeanzisha matumizi ya simu toka mwaka 1871 huko...
    535 bytes (maneno 40) - 13:53, 25 Julai 2020
  • Thumbnail for Antonio Rüdiger
    Antonio Rüdiger Antonio Rüdiger (alizaliwa 3 Machi 1993) ni mchezaji wa soka wa Ujerumani ambaye anacheza kama beki wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza...
    635 bytes (maneno 76) - 11:24, 20 Aprili 2024
  • Antonio de la Cruz Antonio de la Cruz (alizaliwa 7 Mei 1947) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Hispania. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Hispania...
    819 bytes (maneno 59) - 09:24, 21 Januari 2023
  • Thumbnail for Antonio Stradivari
    Antonio Stradivari (matamshi: [antɔːnjo stradivaːri]; 1644 - 18 Desemba 1737) alikuwa mtengenezaji wa vifaa vya muziki vya nyuzi kama violini toka Italia...
    535 bytes (maneno 48) - 06:51, 6 Agosti 2020
  • Thumbnail for Antonio Gonzalez (mfiadini)
    Antonio Gonzalez, O.P. (takriban 1593 - 24 Septemba, 1637) ni mmojawapo kati ya Wakristo waliofia dini nchini Japani (1633-1637). Alikwenda huko kama...
    2 KB (maneno 146) - 15:38, 23 Oktoba 2021
  • Thumbnail for Antonio Rosmini
    Antonio Francesco Davide Ambrogio Rosmini-Serbati (Rovereto, 25 Machi 1797 - Stresa, 1 Julai 1855) alikuwa padri na mwanafalsafa wa Italia aliyejihusisha...
    5 KB (maneno 410) - 00:04, 18 Februari 2021
  • Thumbnail for Antonio Egas Moniz
    Antonio Caetano de Abreu Freire Egas Moniz (29 Novemba 1874 – 13 Desemba 1955) alikuwa daktari na mwanasiasa kutoka nchi ya Ureno. Hasa alichunguza neva...
    729 bytes (maneno 63) - 11:22, 9 Machi 2013
  • Antonio Napolioni (amezaliwa Camerino, 11 Desemba 1957) ni askofu Mkatoliki nchini Italia. Alipata upadrisho tarehe 25 Juni 1983. Tarehe 16 Novemba 2014...
    570 bytes (maneno 36) - 09:06, 26 Desemba 2017
  • kama majadiliano yametokea na washiriki walipatana. Juma Khatib Nugaz "Antonio Nugaz" (Amezaliwa Tarehe 10 Oktoba 1983, Tanga) Ni mtangazaji wa televisheni...
    1 KB (maneno 155) - 14:52, 20 Januari 2021
  • Antonio Vallesio, O. de M. (alifia dini Tunisi, 1293) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki kutoka Liguria, Italia, ambaye alikwenda Tunisia pamoja na Matia...
    787 bytes (maneno 67) - 14:03, 11 Oktoba 2019
  • Thumbnail for Antonio José de Sucre
    Antonio José de Sucre (3 Februari 1795 - 4 Juni 1830) alikuwa mwanajeshi na mwanasiasa wa Amerika Kusini akipigania uhuru wa nchi mbalimbali pamoja na...
    757 bytes (maneno 82) - 13:51, 10 Machi 2013
Tazama (20 zilizotangulia | ) (20 | 50 | 100 | 250 | 500)