Nenda kwa yaliyomo

Antonio Squarcialupi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya Antonio Squarcialupi na Benedetto da Maiano, Kanisa kuu la Florence.

Antonio Squarcialupi (27 Machi 1416 – 6 Julai 1480) alikuwa mpiga kinanda na mtunzi wa muziki kutoka Italia. Alikuwa mpiga kinanda maarufu zaidi nchini Italia katikati ya karne ya 15.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  • Kurt von Fischer, "Antonio Squarcialupi", in The New Grove Dictionary of Music and Musicians, ed. Stanley Sadie. London, Macmillan Publishers Ltd., 1980. ISBN 1-56159-174-2
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Antonio Squarcialupi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.