Matokeo ya utafutaji
Mandhari
- Mtakatifu ni binadamu aliye hai au aliyekufa ambaye dini fulani au watu mbalimbali wanamheshimu kwa namna ya pekee kwa jinsi alivyoonekana kuwa karibu...4 KB (maneno 461) - 08:54, 4 Novemba 2017
- Tsavo ni jina la mto mmojawapo wa Kenya kusini ambao unatiririka kutoka magharibi hadi mashariki na uko mpakani mwa mbuga ya kitaifa ya milima ya Chyulu...2 KB (maneno 174) - 07:29, 17 Septemba 2023
- Tana ni jina la mto mrefu kuliko yote ya Kenya ukiwa na urefu wa takriban km 650. Chanzo chake ni milima ya Aberdare magharibi kwa Nyeri. Mwanzoni unelekea...1 KB (maneno 118) - 07:34, 28 Septemba 2023
- Magharibi ni moja kati ya mielekeo minne mikuu ya dira. Mwelekeo wake ni upande wa machweo ya jua. Magharibi ni pia jina la saa ya swala ya jioni ya Waislamu...1 KB (maneno 138) - 10:04, 29 Novemba 2019
- Mto Lugogo unapatikana kwanza katika wilaya ya Buikwe na wilaya ya Mukono, mkoa wa Kati, nchini Uganda. Ni tawimto la Mto Kafu ambao unaingia katika Nile...843 bytes (maneno 62) - 14:09, 13 Agosti 2019
- Kilomita ya mraba (km²) ni kipimo cha eneo; eneo lenye upana na urefu wa kilomita moja Msingi wake ni mita ya mraba (m²). Kilomita ya mraba hutumika kwa...730 bytes (maneno 112) - 09:31, 2 Novemba 2019
- Mji mkuu kwa kawaida ni mji wenye makao makuu ya serikali ya nchi fulani. Katika nchi nyingi mji huo ni pia mji mkubwa na muhimu zaidi kushinda miji mingine...6 KB (maneno 782) - 03:52, 6 Februari 2022
- Mto Njombe ni mto wa Tanzania unaoanzia katika mkoa wa Mbeya, unapitia mpakani mwa mkoa wa Singida na mkoa wa Iringa. Hatimaye huingia katika mto Kisigo...704 bytes (maneno 66) - 13:21, 1 Juni 2018
- Mto Saisi ni mmojawapo kati ya mito ya Zambia na Tanzania, tawimto la mto Momba ambao unatiririka upande wa kusini magharibi na kuishia katika ziwa Rukwa...1 KB (maneno 108) - 12:40, 26 Machi 2020
- Roma ya Kale ni ustaarabu uliokua kutoka katika mji Roma, ulioanzishwa katika rasi ya Italia kabla ya karne ya 9 KK. Katika kipindi cha karne kumi na mbili...2 KB (maneno 165) - 13:16, 5 Februari 2022
- Mto Musa ni jina la mito mbalimbali, ikiwemo miwili ya Tanzania: Mto Musa (Ruvu) Mto Musa (Singida)...122 bytes (maneno 17) - 13:09, 8 Desemba 2018
- Mto Saunyi ni tawimto la mto Pangani ambao maji yake yanaishia katika bahari ya Hindi (mkoa wa Tanga, kaskazini mashariki mwa nchi Tanzania). Mito ya Tanzania...369 bytes (maneno 28) - 10:43, 30 Mei 2018
- Mto Zira ni mmojawapo kati ya mito ya Tanzania (mkoa wa Mbeya). Unatiririka upande wa kusini magharibi na kuishia katika ziwa Rukwa. Mito ya Tanzania Orodha...994 bytes (maneno 102) - 13:20, 10 Mei 2018
- Mto Mlomboji ni mto wa mkoa wa Njombe (Tanzania Kusini Magharibi) ambao ni tawimto dogo la Ruaha Mkuu. Baadaye mto huo mkubwa unapitia Iringa na tambarare...584 bytes (maneno 52) - 13:30, 1 Juni 2018
- Mto Msenguse ni mmojawapo kati ya mito ya Tanzania (upande wa magharibi). Unatiririka hadi ziwa Tanganyika. Mito ya Tanzania Geonames.org...346 bytes (maneno 21) - 09:08, 29 Mei 2018
- Mto Muhuwezi ni mto wa Tanzania, tawimto la mto Ruvuma, unaotiririka hadi kuishia katika Bahari Hindi mpakani mwa Msumbiji. Mito ya Tanzania Orodha ya...434 bytes (maneno 31) - 09:08, 29 Mei 2018
- Mto Mbiki ni kati ya mito ya mkoa wa Pwani (Tanzania mashariki), unaotiririka hadi kuingia mto Ruvu ambao unaishia katika Bahari Hindi. Mito ya Tanzania...457 bytes (maneno 34) - 13:42, 1 Mei 2018
- 5°15′23″S 29°48′6″E / 5.25639°S 29.80167°E / -5.25639; 29.80167 Mto Malagarasi ni mmojawapo kati ya mito mikubwa zaidi ya Tanzania (upande wa magharibi)...3 KB (maneno 292) - 12:34, 18 Machi 2020
- Bahari ni eneo kubwa lenye maji ya chumvi. Katika Kiswahili cha kila siku neno hili hutumiwa pia kwa kutaja magimba madogo zaidi ya maji kama vile ziwa...2 KB (maneno 298) - 13:56, 24 Februari 2023
- Mto Ruwana ni mto wa mkoa wa Mara (Tanzania kaskazini) ambao maji yake yanaingia katika ziwa Viktoria na hatimaye yanaelekea Bahari ya Kati kupitia mto...493 bytes (maneno 39) - 12:01, 16 Mei 2018
- wingi hali ya vitu kuwa zaidi ya moja akthari Kihispania: plural (es) Kiingereza : plural (en) Kireno: plural (pt) Kitaliano: plurale (pt)