Matokeo ya utafutaji
Mandhari
- Maji ni kimiminika ambacho ni kiini cha uhai wowote duniani na pia kiini cha utamaduni wa binadamu. Hakuna mtu anayeweza kuishi bila maji kwa sababu asilimia...6 KB (maneno 732) - 14:43, 10 Novemba 2023
- Mto Kagera (kwa Kinyarwanda: Akagera) ni kati ya mito inayounda mto Nile, pia ni mto mkubwa kabisa wa kuingia ziwa la Viktoria Nyanza. Unaanzia Burundi...2 KB (maneno 133) - 12:44, 16 Julai 2019
- Mto Awach Tende (au Awach Kusini au Kitare) unapatikana katika kaunti ya Homa Bay, magharibi mwa Kenya (kwenye ziwa Nyanza). Maji yake yanaishia katika...531 bytes (maneno 45) - 11:38, 3 Desemba 2018
- Mto Perakera unapatikana katika kaunti ya Baringo nchini Kenya.Ni tawimto la mto molo ambao unaishia katika ziwa Baringo pia mto huu una ukubwa wa kilomita...510 bytes (maneno 41) - 12:12, 30 Agosti 2020
- Tsavo ni jina la mto mmojawapo wa Kenya kusini ambao unatiririka kutoka magharibi hadi mashariki na uko mpakani mwa mbuga ya kitaifa ya milima ya Chyulu...2 KB (maneno 174) - 07:29, 17 Septemba 2023
- Mto Chania (Thika) unapatikana Kenya. Ni tawimto la mto Thika ambao unaingia katika mto Tana ambao ndio mrefu kuliko yote nchini na unaishia katika Bahari...289 bytes (maneno 27) - 15:06, 23 Novemba 2017
- Mto Ragati unapatikana katika kaunti ya Kirinyaga, katikati ya Kenya. Ni tawimto la mto Sagana, ambao unaingia katika mto Tana ambao ndio mrefu kuliko...549 bytes (maneno 44) - 12:16, 5 Oktoba 2018
- Baada ya kuzaliwa kwake Yesu Kristo (kifupi: BK) ni namna ya kutaja miaka ambayo imekuwa njia ya kuhesabu miaka inayotumika zaidi duniani. Kila mwaka huhesabiwa...5 KB (maneno 625) - 08:29, 20 Februari 2018
- Nile ya Viktoria ni sehemu ya mto Naili inayoanzia kaskazini mwa ziwa Nyanza karibu na Jinja (Uganda), inaunda ziwa Kyoga na matawi yake katikati ya nchi...598 bytes (maneno 57) - 10:24, 23 Machi 2019
- Mji mkuu kwa kawaida ni mji wenye makao makuu ya serikali ya nchi fulani. Katika nchi nyingi mji huo ni pia mji mkubwa na muhimu zaidi kushinda miji mingine...6 KB (maneno 782) - 03:52, 6 Februari 2022
- Kalenda ya Kiarmenia ni aina ya kalenda iliyoanzishwa nchini Armenia na kutumiwa na watu Waarmenia au wenye asili ya Armenia. Hesabu yake ya miaka ilianza...528 bytes (maneno 75) - 05:46, 26 Mei 2014
- Mto Kikafu ni tawimto la mto Weruweru na kwa njia yake unachangia mto Kikuletwa ambao ni kati ya vyanzo viwili vikuu vya mto Pangani ambao maji yake yanaishia...590 bytes (maneno 52) - 12:20, 5 Mei 2018
- Roma ya Kale ni ustaarabu uliokua kutoka katika mji Roma, ulioanzishwa katika rasi ya Italia kabla ya karne ya 9 KK. Katika kipindi cha karne kumi na mbili...2 KB (maneno 165) - 13:16, 5 Februari 2022
- Mto Ruhudji ni mto wa Tanzania unaochangia mto Mnyera, tawimto la mto Kilombero, unaotiririka hadi kuungana na mto Luwegu kuunda mto Rufiji ambao unaishia...893 bytes (maneno 81) - 13:41, 9 Agosti 2020
- Mfiadini ni binadamu yeyote aliyeuawa kwa ajili ya imani au maadili ya dini aliyoiamini. Inasikitisha kwamba katika historia dhuluma nyingi zilifanywa...873 bytes (maneno 107) - 12:05, 9 Septemba 2014
- Mto Lungonya ni kati ya mito ya mkoa wa Pwani (Tanzania mashariki), unaotiririka hadi kuingia mto Rufiji ambao unaishia katika Bahari Hindi. Mito ya Tanzania...449 bytes (maneno 34) - 13:42, 1 Mei 2018
- Mto Mori ni mto wa mkoa wa Mara (Tanzania kaskazini) ambao maji yake yanaingia katika ziwa Viktoria na hatimaye yanaelekea Bahari ya Kati kupitia mto Naili...488 bytes (maneno 38) - 14:33, 30 Agosti 2020
- Mto Msenguse ni mmojawapo kati ya mito ya Tanzania (upande wa magharibi). Unatiririka hadi ziwa Tanganyika. Mito ya Tanzania Geonames.org...346 bytes (maneno 21) - 09:08, 29 Mei 2018
- Mto Luega ni mmojawapo kati ya mito ya Tanzania (upande wa magharibi). Unatiririka hadi ziwa Tanganyika. Maji yake yanaendelea baadaye hata bahari ya Atlantiki...473 bytes (maneno 32) - 13:55, 7 Desemba 2018
- Mto Waramu ni tawimto la mto Weruweru na kwa njia yake unachangia mto Kikuletwa ambao ni kati ya vyanzo viwili vikuu vya mto Pangani ambao maji yake yanaishia...490 bytes (maneno 45) - 10:58, 30 Mei 2018
- wingi hali ya vitu kuwa zaidi ya moja akthari Kihispania: plural (es) Kiingereza : plural (en) Kireno: plural (pt) Kitaliano: plurale (pt)