Matokeo ya utafutaji
Mandhari
- Maji ni kimiminika ambacho ni kiini cha uhai wowote duniani na pia kiini cha utamaduni wa binadamu. Hakuna mtu anayeweza kuishi bila maji kwa sababu asilimia...6 KB (maneno 732) - 14:43, 10 Novemba 2023
- Kenya (jina rasmi: Jamhuri ya Kenya) ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi. Kenya imepakana na Ethiopia upande wa kaskazini...67 KB (maneno 8,178) - 19:00, 24 Novemba 2024
- Muungano wa Madola ya Amerika (kwa Kiingereza: United States of America), hujulikana pia kama Marekani (kwa Kiingereza: United States, US, USA au America)...33 KB (maneno 3,267) - 12:58, 8 Novemba 2024
- Uganda ni nchi ya Afrika ya Mashariki. Imepakana na Kenya upande wa mashariki, Sudan Kusini upande wa kaskazini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo upande...11 KB (maneno 1,102) - 20:09, 10 Oktoba 2023
- Katika mabara, lile lenye nchi nyingi zaidi ni Afrika likiwa na nchi au madola 54, likifuatiwa na bara la Ulaya likiwa na madola 48, kisha Asia likiwa...8 KB (maneno 826) - 23:11, 9 Agosti 2022
- Mto Laga Bor ni korongo linalopatikana katika kaunti ya Wajir, kaskazini mashariki mwa Kenya. Maji yake yanaishia katika mto Juba ambao unaingia katika...540 bytes (maneno 40) - 14:19, 29 Septemba 2018
- Mto Mogunga (Kisii) ni jina la miwili kati ya mito inayopatikana katika kaunti ya Kisii, magharibi mwa Kenya (kwenye ziwa Nyanza). Maji yake yanaishia...523 bytes (maneno 45) - 12:49, 9 Agosti 2018
- Mto Lagh Kutulo ni korongo linalopatikana katika kaunti ya Wajir, kaskazini mashariki mwa Kenya. Ni tawimto la mto Lak Bor, tawimto la mto Lagh Dera, ambao...602 bytes (maneno 52) - 13:30, 30 Agosti 2020
- Majiranukta (pia: mfumo majiranukta) ni mbinu ya hisabati unaoeleza nafasi ya kila nukta katika seti ya namba. Majiranukta ya kawaida hueleza nafasi ya...793 bytes (maneno 81) - 14:43, 13 Desemba 2023
- Mto Ruguti unapatikana katika kaunti ya Embu, katikati ya Kenya. Ni tawimto la mto Tana ambao ndio mrefu kuliko yote nchini na unaishia katika Bahari ya...497 bytes (maneno 39) - 12:27, 29 Septemba 2018
- Mto wa Nzoia ni mto wa Kenya unaotoka Mlima Elgon na kuwa na urefu wa kilomita 257 (maili 160). Unatiririkia kusini na kisha magharibi hatimaye unaingia...1 KB (maneno 143) - 08:20, 9 Julai 2021
- Kiingereza ni lugha ya jamii ya Kijerumaniki cha Magharibi iliyokua nchini Uingereza kwa muda wa miaka 1,400. Leo, zaidi ya wasemaji milioni mia nne duniani...9 KB (maneno 939) - 09:22, 22 Oktoba 2024
- Ukristo (kutoka neno la Kigiriki Χριστός, Khristos, ambalo linatafsiri lile la Kiebrania מָשִׁיחַ, Māšîăḥ, linalomaanisha "Mpakwamafuta" ) ni dini inayomwamini...63 KB (maneno 8,116) - 02:57, 29 Aprili 2024
- Ufaransa ni nchi ya Ulaya na mwanachama mwanzilishi wa Umoja wa Ulaya. Mji mkuu ni Paris. Eneo lake ni km² 674,843; na idadi ya wakazi ni 63,044,000. Imepakana...17 KB (maneno 1,743) - 21:38, 5 Septemba 2024
- Afrika ni bara la pili duniani kwa ukubwa, likiwa na eneo la kilometa za mraba zipatazo 30,370,000 na kwa idadi ya wakazi, hao wakiwa 1,225,080,510 (mwaka...18 KB (maneno 1,766) - 22:51, 21 Novemba 2024
- Mto Nkusi unapatikana magharibi mwa Uganda (wilaya ya Kakumiro na wilaya ya Kibaale). Maji yake yanaingia katika ziwa Albert. Katikati ya mwendo wake yanachanganyikana...797 bytes (maneno 55) - 14:06, 14 Agosti 2019
- Mto Muzizi unapatikana magharibi mwa Uganda (wilaya ya Mubende, wilaya ya Kyegegwa, wilaya ya Kibaale, wilaya ya Kyenjojo, wilaya ya Kabarole na wilaya...842 bytes (maneno 41) - 10:19, 23 Machi 2019
- Usawa wa wastani wa maji ya bahari hutumika kama kipimo cha kulinganisha kimo cha mahali duniani toka usawa wa bahari. Hali halisi usawa wa bahari hubadilika...605 bytes (maneno 77) - 13:29, 21 Februari 2017
- Tovuti (Kiing. website) ni mkusanyiko wa kurasa zilizoandikwa kwa lugha mbalimbali za tarakilishi kama vile HTML, PHP, XHTML na kadhalika na ambazo kwa...1 KB (maneno 135) - 11:46, 10 Septemba 2022
- mtu m-wa (wingi watu) binadamu Kiingereza : person (en) Kifaransa: personne (fr) Kihungaria: személy (hu) Kijerumani: Person (de) Kitaliano: persona (it)