Georges Danton

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Georges Danton

Kwa mujibu wa mwandishi wa biografia, "Danton alikuwa na uerfu mkubwa, ambao hufaa kwenye riadha, sifa zake zimewekwa wazi, hazipendekezi, na hazipendezi; sauti yake ilikuwa nzito ya kuweza kutikisa kuta nyumba".[1]


Msimamizi wa Idara ya Paris

Member of the National Convention

tarehe ya kuzaliwa (1759-10-26)26 Oktoba 1759
Arcis-sur-Aube, France
tarehe ya kufa 5 Aprili 1794 (umri 34)
Paris, France
utaifa French
chama Cordeliers Club
Fani yake Mwanasheria and Mwanasiasa
dini Mkristu
signature

Georges Jacques Danton (26 Oktoba 17595 Aprili 1794) alikuwa mwanasiasa kipindi cha Mapinduzi ya Ufaransa. Alikuwa Rais wa kwanza katika Kamati ya usalama wa umma. Ni mwanzilishi wa kikundi kijulikanacho kama Uongozi wa Ugaidi.

Uongozi wa Ugaidi ulianza mwaka 1793 na kukoma mwaka 1794. Wakati wa Utawala wa Ugaidi, Danton alibadili mawazo yake: Alisema kuwa kuendelea na Utawala wa Ugaidi kulikuwa wazo baya, lakini watu wengine hawakukubaliana naye. Danton alishtakiwa kwa uhaini na kuhukumiwa akatwe kichwa kwa mashine maalum ya kunyongea (guillotine).

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. The Monthly Review. Printed for R. Griffiths. 1814. Iliwekwa mnamo 2009-02-25. 
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Georges Danton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.