Tofauti kati ya marekesbisho "Theluthi"

Jump to navigation Jump to search
38 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
 
[[Picha:FrazioneUnTerzo.png|300px|thumb|Theluthi moja]]
'''Theluthi''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]] <big>ثلث</big> ''thulth''; pia '''thuluthi''') ni [[namba wiano]] inayotaja sehemu ya [[tatu]] ya [[jumla]] fulani. Theluthi tatu zinafanya 1.
 
Inaweza kuandikwa kama '''<math>\tfrac{1}{3}</math>''' au '''1/3'''.
Kama [[desimali]] inakaribia 0.33333333333.
 
Inalingana na takriban [[asilimia]] 33,33 [[%]].
 
Hesabu: (1 ⁄ 3) · ((100 ⁄ 3) ⁄ (100 ⁄ 3)) = (100 ⁄ 3) ⁄ 100 ≈ 33,33 ⁄ 100 ≈ [[asilimia]] 33,33 .
 
{{mbegu-hisabati}}
 
[[Category:Hisabati]]
 
[[JamiiCategory:Namba wiano]]

Urambazaji