Shahada ya Awali : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Digrii ya bachelor''' ni [[stashahada]] inayotolewa kwa [[mwanafunzi]] wa [[chuo kikuu]] aliyefaulu masomo ya fani fulani katika muda wa miaka mitatu au minne, kutegemeana na nchi na mfumo wa chuo.
'''Digrii ya bachelor''' ni [[shahada]] ya kwanza inayotolewa kwa [[mwanafunzi]] wa [[chuo kikuu]] aliyefaulu masomo ya [[fani]] fulani katika muda wa miaka mitatu au minne, kutegemeana na nchi na mfumo wa [[chuo]].


[[Neno]] "bachelor" kwa [[lugha]] ya [[Kiingereza]] kimsingi linataja mtu [[Ndoa|asiyeoa]] bado lakini mwenye [[umri]] wa kutosha.
[[Neno]] "bachelor" kwa [[lugha]] ya [[Kiingereza]] kimsingi linataja mtu [[Ndoa|asiyeoa]] bado lakini mwenye [[umri]] wa kutosha.
Mstari 5: Mstari 5:
Katika nchi zinazofuata mfumo wa [[Uingereza]] ni miaka mitatu, kwenye mfumo wa [[Marekani]] ni muda wa miaka minne kutokana na tofauti katika kiwango cha [[elimu ya sekondari]].
Katika nchi zinazofuata mfumo wa [[Uingereza]] ni miaka mitatu, kwenye mfumo wa [[Marekani]] ni muda wa miaka minne kutokana na tofauti katika kiwango cha [[elimu ya sekondari]].


Nchi nyingine hazina digrii hiyo kwa sababu kwao masomo ya chuo kikuu hupangwa kwa muda wa miaka mitano hadi [[sita]] tangu mwanzo.
Nchi nyingine hazina [[digrii]] hiyo kwa sababu kwao masomo ya chuo kikuu hupangwa kwa muda wa miaka mitano hadi [[sita]] tangu mwanzo.


Vyeo vinavyofuata ni [[digrii ya master]] na digrii ya [[dokta]].
Vyeo vinavyofuata ni digrii ya [[uzamili]] ("masters") na digrii ya [[uzamifu]] ("udaktari").


[[jamii:Elimu]]
[[jamii:Elimu]]

Pitio la 13:50, 12 Desemba 2016

Digrii ya bachelor ni shahada ya kwanza inayotolewa kwa mwanafunzi wa chuo kikuu aliyefaulu masomo ya fani fulani katika muda wa miaka mitatu au minne, kutegemeana na nchi na mfumo wa chuo.

Neno "bachelor" kwa lugha ya Kiingereza kimsingi linataja mtu asiyeoa bado lakini mwenye umri wa kutosha.

Katika nchi zinazofuata mfumo wa Uingereza ni miaka mitatu, kwenye mfumo wa Marekani ni muda wa miaka minne kutokana na tofauti katika kiwango cha elimu ya sekondari.

Nchi nyingine hazina digrii hiyo kwa sababu kwao masomo ya chuo kikuu hupangwa kwa muda wa miaka mitano hadi sita tangu mwanzo.

Vyeo vinavyofuata ni digrii ya uzamili ("masters") na digrii ya uzamifu ("udaktari").