Wilaya ya Buhigwe : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 41.222.179.178 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Kipala
Mstari 7: Mstari 7:
<references/>
<references/>


{{Kigezo:Kata za Wilaya ya Manyovu Buhigwe}}
{{Kigezo:Kata za Wilaya ya Buhigwe}}





Pitio la 16:58, 5 Desemba 2016

Buhigwe ni jina la wilaya mpya katika mkoa wa Kigoma, ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012. Kufuatana na sensa ya 2012 idadi a wakazi ilikuwa watu 254,342.[1]

Makao makuu ya wilaya yako Buhigwe.


Marejeo

  1. Sensa ya 2012, Kigoma - Buhigwe
Kata za Wilaya ya Buhigwe - Mkoa wa Kigoma - Tanzania

Biharu | Buhigwe | Bukuba | Janda | Kajana | Kibande | Kibwigwa | Kilelema | Kinazi | Mkatanga | Mubanga | Mugera | Muhinda | Munanila | Munyegera | Munzeze | Muyama | Mwayaya | Nyamugali | Rusaba